Conte aos seus amigos sobre este item:
Wanyama Wenye Uti Wa Mgongo Batholomew a Meena Swahili edition
Wanyama Wenye Uti Wa Mgongo
Batholomew a Meena
Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na Ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama mamalia, reptilia, amfibia, samaki na ndege.
Wanajulikana kwa:
? Kuwa na vichwa
? Kuwa na milango ya fahamu na Ubongo
? Kuwa na uti wa Mgongo
? Kuwa na mfumo wa Mifupa
? Kuwa na Mzunguko wa damu
? Kuwa na jinsi
| Mídia | Livros Paperback Book (Livro de capa flexível e brochura) |
| Lançado | 27 de dezembro de 2014 |
| ISBN13 | 9789987735181 |
| Editoras | E & D Vision Publishing Limited |
| Páginas | 46 |
| Dimensões | 3 × 216 × 216 mm · 104 g |
| Idioma | Swahili |