Conte aos seus amigos sobre este item:
Sio Kile Nilichotarajia F Wayne Mac Leod
Sio Kile Nilichotarajia
F Wayne Mac Leod
Kama tukiwa wakweli kabisa, tutakiri kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia. Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaki kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango. Taifa la Israeli pia walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kutoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu ya kile Mungu atakachowafanyia. Kutoka 16:3 ina mambo mengi ya kutuambia kuhusu matarijio ya Waisraeli na Imani juu ya Mungu.
| Mídia | Livros Paperback Book (Livro de capa flexível e brochura) |
| Lançado | 7 de novembro de 2017 |
| ISBN13 | 9781979559485 |
| Editoras | Createspace Independent Publishing Platf |
| Páginas | 60 |
| Dimensões | 152 × 229 × 3 mm · 95 g |
| Idioma | Swahili |