Conte aos seus amigos sobre este item:
Mke Mmoja, Waume Wawili MR Hashil Seif Hashil
Mke Mmoja, Waume Wawili
MR Hashil Seif Hashil
Hashil ameonyesha dhahiri katika riwaya hii ya Mke Mmoja, Waume Wawili kuwa kuna wanawake wenye mapendekezo ya kuleta mabadiliko katika mila zao bila ya kuwa na hofu ya kukandamizwa na wakaazi wa hapo wanapoishi. Soma kwa makini habari za Latvej na Linda upate kujua ushupavu wao wakati wa kupigania Ukombozi wa Wanawake katika karne hii yetu.
| Mídia | Livros Paperback Book (Livro de capa flexível e brochura) |
| Lançado | 2 de junho de 2017 |
| ISBN13 | 9781547130252 |
| Editoras | Createspace Independent Publishing Platf |
| Páginas | 150 |
| Dimensões | 152 × 229 × 8 mm · 208 g |
| Idioma | Swahili |